Jumamosi, 24 Septemba 2016

NGUVU YA UAMINIFU


Uaminifu ni jambo la msingi na ni chombo  pekee kinachofaa ndani ya mahusiano mbalimbali, kama  ya biashara, mke na mume, mtu na mchumba,  marafiki na familia.uaminifu ni uwezo unaoleta imani kwa mtu, na ni njia  ya kukupeleka katika  ubora wako.
Si kila mtu anaweza kuaminika, tunatakiwa kuwa makini katika hilo, kwa sababu madhara yake ni makubwa sana. Imani inajengwa na historia ya mtu mmoja ambaye anaweza kuaminika na ni katika sehemu ambazo ameonekana kuwa ni mkweli na mwaminifu.
kitu kimoja cha ajabu sana kuhusiana na imani ni kwamba , inachukua miaka  kuijenga, lakini ni dakika kuibomoa.kuna namna nyingi ungeweza kumwamini mtu au la.  fuatana nami  katika maneno haya yanayoweza kuvutia, na kuamini neno moja inahitaji uvumilivu  mkubwa.
IMANI..INACHUKUA MIAKA KUIJENGA, SEKUNDE KUIBOMOA, NA HUTAWEZA KUITENGENEZA TENA.
1.         NI NINI?
·         Ni tunda la Roho Galatia 5:22
·         Ni kutenda kwa namna sahihi na watu sahihi ,mahali sahihi ukitumia vitu sahihi kwa wakati sahihi.
2.         FAIDA ZA KUWA MWAMINIFU Mathayo 25:21,23
·         Unaaminiwa na watu
·         Unahifadhiwa
·         Unakubalika
·         Unasaidiwa na watu
·         Unakopesheka
·         Macho yangu yatawaelekea waaminifu Zaburi 101:6

3.         UAMINIFU UNAJENGWAJE?
·         Kwa kuwa mkweli katika mambo yote
·         Kuishi maisha matakatifu
·         Usemi wako uendane na matendo

4.         JINSI YA KUISHI MAISHA YA UAMINIFU
·         Zaburi 89:8 unakuzunguka

5.         MADHARA YA KUTOKUWA MWAMINIFU
Mithali 25:19
·         Rushwa
·         Aibu
·         Uonevu
·         kudharauliwa

6.         VIWANGO VYA UAMINIFU Zaburi 119:138
·         Mwaminifu machache Mathayo 25:21-23

7.         KUTHIBITISHA UAMINIFU Zaburi 89:2
·         Kutenda kwa uaminifu 2 Nyakati 34:12  2  Falme 12:5  22:7
Yosea 2:14
Amuzi 9:16 
Zaburi 33:4
·         Kutenda uaminifu Mithali 12:22
8.         KUTOA KWA UAMINIFU
2 Nyakati 31:12

9.         ALAMA YA UAMINIFU YOELI 2:12

10.     KUMWITA MUNGU KWA UAMINIFU ZABURI 145 :18

11.     ROHO YA UAMINIFU MITHALI 11:13

12.     KAZI YA UAMINIFU

·         Huhifadhi Mithali 20:28
·         Ni mshipi wa kujifungia Isaya 11:5
13.     KUHUKUMU KWA UAMINIFU Mithali 29:14

14.     KUTAFUTA UAMINIFU  YEREMIA 5:1
·         Kupoteza uaminifu yeremia 7:28 Zaburi 12:1  waaminifu wametoweka.
·         Katika uaminifu yeremia 9:3
·         Kusema Neno kwa uaminifu yeremia 23:28
·         Shahidi wa uaminifu yeremia 42:5
·         Kuposa kwa uaminifu Hosea 2:20
·         Mtumwa mwaminifu mathayo 25:21
·         Kuonyesha Tito 2:10
15.     Kuwa mwaminifu katika
·         Utoaji
·         Utumishi
·         Muda
·         Usemi
·         Shughuli
·         Kimapenzi
·         Kibiashara
·         Kikazi
·         kirafiki
16.     Kuhesabiwa kuwa Mwaminifu Nehemia 13:13
17.     Ni mwamninfu katika nyumba yangu Hesabu 12:7
18.     Shahidi mwaminifu hatasema uongo Mithali 14:5
19.     Kuhani Mwaminifu 1 Samweli 2:35
20.     Nani mwaminifu kama Daudi 1 Samweli 22:14
21.     Mtu mwaminifu atakuwa na baraka Mithali 28:20
22.     Mji mwaminifu uwekuwaje kahaba Isaya 1:21
23.     Mji wa haki ,mji mwaminifu Isaya 1:26
24.     Mashahidi waaminifu Isaya 8:2
25.     Alikuwa mwaminifu hali kuonekana Daniel 6:4
26.     SIFA ZA MTU MWAMINIFU
·         Mjumbe mwaminifu mithali 15:13
·         Ni mwenye haki Isaya 1:26
·         Ni mtakatifu Hosea 11:12
·         Ni mkweli
·         Ni mwaminifu
·         Ni mwenye fadhili
·         Ni mwema
·         Ni mnyenyekevu

                                             MWALIMU JAMES SADY


Maoni 7 :

  1. somo nzuri sana, uaminifu ni kila kitu kwa waliookoka na wale bado. Mungu ni mwaminifu anapenda waliowaaminifu. kama ayubu, ibrahimu n.k. mpaka shetani anaogopa kumkaribia ayubu... uaminifu hutuleta karibu na MUNGU. ASANTE SANA

    JibuFuta
  2. Uaminifu ni Nemo dogo lkn limebeba mafanikio mamkubwa kwenye maisha ya mtu, lkn uaminifu hulete kibali katika maisha ya mtu mwaminifu, Mungu akubariki sana mwl. Kwa Somo zuri la uaminifu

    JibuFuta
  3. 👉🏾PID Inaweza kukufanya upate tabu kupata ujauzito.

    👉🏾Bacteria wanaosababisha PID husambaa maeneo lukuki muhimu ya Uzazi na kusababisha magonjwa mengine.

    👉🏾Na magonjwa hayo yote huchangia kwenye kuzuia ujauzito isiingie .

    👉🏾Maeneo haya ni kama
    Mlango wa mfuko wa Uzazi, Mirija na kwenye ovary .

    👉🏾Bacteria wakifika kwenye mfumo wa Uzazi hapo huweza kusababisha endometriosis, vile vile huweza kusababisha fibroid ni hatari.

    👉🏾Bacteria wakifika kwenye mirija hapa husababisha mirija kuziba au kujaa maji au kuleta makovu kwenye mirija na hata uvimbe.

    👉🏾Pia wanaweza fika kwenye ovary hapa wanaweza sababisha PCOS ( polycystic ovarian syndrome)

    👉🏾Haya maeneo yote ni sehemu ambazo hormones zinafanya kazi zake ikiweno kwenye ovary zinapotengenezwa pia !!!.

    👉🏾Kwa matatizo haya lazima mtu apate tatizo la hormonal imbalance ndo hapa mimba kuingia inakuwa shughuli mno...!

    SULUHISHO LIPO. Karibu tukusaidie-
    0752525797
    0677844057

    JibuFuta